MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 106; Usijaribu Kumbadili Mtu, Utapoteza Muda Wako…
Kuna wakati kwenye maisha huwa tunatamani watu wawe kama vile ambavyo sisi tunataka. Tunataka watu wawe na tabia zile tunazotaka na tunataka wafanye kile ambacho tunataka wafanye. Kwa kufanikisha hili, tunajaribu kuwabadili, tunawawekea masharti fulani ili wabadilike. Lakini je tunaambulia nini? Hatuambulii chochote. SOMA; Ukweli Kuhusu Maisha Ambao Kila Mtu