MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Huwezi Kuwa Sahihi Mara Ya Kwanza.
Kuna swali ambalo huwa linaulizwa tena na tena na tena yaani kila siku swali hili linaulizwa. Hata nitakapomaliza kuandika hapa, mtu akipiga simu au kuandika email atauliza swali hilo. Swali lenyewe ni NIFANYE BIASHARA GANI AMBAYO INA FAIDA SANA, au NI BIASHARA GANI AMBAYO INALIPA SANA KWA SASA. Na jibu