MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Anza Na Tatizo Ulilonalo, Halafu Biashara.
Katika kila mazingira ambayo mtu yupo kuna fursa nyingi sana za biashara. Huhitaji kuwa na shahada ili kujua hili, ila bado limekuwa ndio swali ambalo linaulizwa sana. NIFANYE BIASHARA GANI? AMBAYO ITANILIPA? Sichoki kujibu swali hili kwa sababu kazi yangu mimi ni kukupa wewe maarifa yatakayokusaidia kukuza biashara yako na