MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 133; Neno Lako Kama Sheria.
Mara nyingi watu wamekuwa wakijiuliza kama kile wanachofanya ndio sahihi kwao na kwa jamii nzima inayowazunguka. Na kama mtu hana kipimo kizuri cha kujua kama anachofanya ni sahihi au la, basi anaweza kufanya mambo ambayo yatakuwa na madhara kwake na kw amaisha ya wengine. Leo nakushirikisha njia rahisi ya kujua