MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 139; Huyu Ndio Mtu Pekee Anayeweza Kukunyanyasa.
Kuna wakati unaweza kuona kama watu wengine wanakunyanyasa au kukushambulia kutokana na hali uliyonayo au kitu unachofanya. Katika hali kama hii unachukua hatua gani? Unalalamika kwa nini watu wakushambulie wewe? Unajiona kama ni mtu mwenye bahati mbaya kutokana na hali ulizo nazo ambazo zinawafanya wengine wakunyanyase na kukushambulia? Kama hiki