MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 187; Usikubali jua lizame leo kabla hujafanya kitu hiki muhimu.
Siku ya leo kuna watu wengi sana watakaokuudhi. Kuna watu wengi watakukasirisha na wengine watakufanya ujisikie vibaya sana. Kwa hasira inayotokana na watu hawa unaweza kufanya maamuzi ambayo sio mazuri sana kwao na kwako pia. Ila kumbuka mara nyingi unapokuwa na hasira huwezi kufanya maamuzi ambayo ni sahihi. Na hata