MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 208; Acha Kujiua Mapema Kabla Ya Muda Wako.
Makirita kuna tatizo gani tena? Mbona mimi sijajiua? Sawa sawa, hujajiua, ila subiri kidogo tuone kama utetezi wako ni wa kweli au la. PAAAAA, HALAFU TUNASAHAU KUHUSU WEWE…. Kabla hatujaendelea kwanza ulishasoma makala HIVI NDIVYO UNAVYOKUFA NA MIAKA 35 NA KUZIKWA NA MIAKA 65? Kama bado bonyeza hayo maandishi uisome.