MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 209; Unatumia Nguvu Kubwa Kulinda Unachodhani Ni Cha Thamani Wakati Unawaachia Watu Wachezee Kilicho Cha Thamani Zaidi.
Kule kwetu Moshi, ukitaka kujua vizuri mtu ni nani basi kama mmepakana ongeza mpaka wako uzidi ule wa kwake. Yaani ongeza hatua moja tu kwenye mpaka wako na yeye. Atafanya kila jambo kuhakikisha anarudisha hatua ile moja uliyoongeza. Atakushitaki, mtagombana na anaweza kuapa kwamba hata akifa usifike kwenye kaburi lake.