MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 210; Kitakachotokea Baada Ya Hapa…. Na Jinsi Kinavyoharibu Maisha Yako.
Unajua kwa nini watu wengi hawafurahii maisha? Unajua kwa nini watu wengi wanaonekana kuweka juhudi sana kwenye kazi au biashara lakini bado wanaonekana kabisa hawayapendi maisha yao? Ni kwa sababu hawapati muda wa kuishi maisha yao. Hawapati muda wa kuwa pale walipo. Kila mara wanafikiria kitakachotokea baada ya hapa. HASOMI