MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UCHAMBUZI WA KITABU EAT, MOVE, SLEEP.
MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KWENYE KITABU EAT MOVE SLEEP. Maisha yetu yanatokana na maamuzi tunayofanya kila siku kwenye maeneo haya matatu muhimu kwenye maisha, UNAKULA NINI, UNALALA VIPI UNAFANYA MAZOEZI KIASI GANI. 1. Unachokula ndio kinakujenga au kukubomoa. Magonjwa mengi yanayotusumbua sasa yanatokana na vyakula tunavyokula kila siku. Kuwa mwangalifu sana