MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 219; Usiianze Siku Yako Bila Ya Kufanya Kitu Hiki Muhimu.
Kama kuna njia rahisi kabisa ya kuipoteza siku yako ni kuianza bila ya kufanya kitu hiki kimoja ambacho ni muhimu sana kwako na kwa maisha yako. Ni kitu ambacho kitakuwezesha wewe kufika kule unakotaka wakati wengine wanaendelea kuhangaika na maisha na wasijue wanaenda wapi. TAFADHALI SANA USIIANZE SIKU YAKO KABLA