MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 221; Kilichokufikisha Hapa, Hakitakupeleka Mbele.
Moja ya changamoto kubwa ambazo zinawazuia watu wengi kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao ni wao kujiwekea kikomo. Ndio, karibu kila mtu anapenda kuwa na maisha bora, lakini kuna wakati unafika mtu anajiwekea kikomo mwenyewe. Na baada ya kujiwekea kikomo hiki hakuna tena jitihada kubwa zinazofanyika kujiondoa pale ambapo mtu