MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Siku Mpya Ni Mbegu Mpya, Unaipanda Wapi?
Kila siku mpya ni mbegu mpya ambayo kama ukiweza kuipanda vizuri utakuwa na mavuno mazuri sana baadae. Usikubali siku yako iishe kama vile ambavyo wengine wanafanya. Wewe ichukulie siku yako kuwa ya kipekee, Ione kama nafasi ya kuionesha dunia ubora ambao uko ndani yako, ubora ambao dunia haijawahi kuuona. Na