MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 234; Maisha Ni Kujumlisha Na Kutoa.
Kama ambavyo tumekuwa tunakubaliana mara nyingi, maisha ni kichagua. Chochote kinachotokea kwenye maisha yako, basi umechagua mwenyewe, iwe ni sasa au siku zilizopita. MAISHA NI RAHISI SANA, UKIJUMLISHA UNAKWENDA JUU, UKITOA UNAKWENDA CHINI. JE WEWE UNACHAGUA NINI? Sasa mambo yote unayoweza kuchagua kwenye maisha yamegawanyika kwenye makundi mawili. Makundi haya