MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 257; Ihesabu Leo Kuwa Siku.
Zaidi ya nusu ya vitu utakavyopanga kufanya leo kuna uwezekano mkubwa hutaweza kuvifanya, hutapata nafasi ya kuvifanya. Zaidi ya nusu ya vitu utakavyotaka kusoma leo, hutaweza kuvisoma. Zaidi ya nusu ya vitu utakavyosema NDIO leo hutaweza kuvitimiza. Vipindi vya tv utakavyopanga kuangalia leo hutapata muda huo. IFANYE LEO KUWA SIKU