MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 276; Ndugu Na Marafiki Zako Ndio Adui Zako Wakubwa.
Ndugu zako na marafiki zako wa karibu wanakupenda sana. Ndio maana mpaka sasa mpo karibu na mkishirikiana kwenye mambo mengi. Lakini hawa hawa ndugu na marafiki zako wa karibu, ni maadui wakubwa sana kwako. KUWA MAKINI, WATU WENYE NIA NJEMA NA WEWE WANAWEZA KUWA MAADUI WAKUBWA. Sio maadui kwamba wanataka