MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 294; Unachotaka Kwako, Taka Na Kwa Wengine.
Dunia sio mapambano ya kupata au kukosa. Sio kweli kwamba kuna uhaba kama tunavyoaminishwa. Sio kweli kwamba ili wewe uwe tajiri ni lazima wengine wawe masikini. Chochote unachotaka, kipo cha kukutosha wewe na wengine wengi wanaokitaka pia. ZIPO FURSA ZA KUMTOSHA KILA MTU. Unapoiruhusu akili yako kuwafikiria wengine pia, unairuhusu