MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 303; Unapoamua Kile Unachotaka…
Maana yake unajua kabisa ya kwamba kuna vitu vingine vingi unataka, lakini hiki ni muhimu zaidi. Unajua ya kwamba kuna vingi vitakuja njiani lakini hutaacha hiki ulichoamua kwa sababu ya vitu hivyo. Unajua ya kwamba utakutana na changamoto nyingi lakini hutakubali zikurudishe nyuma. Unajua kabisa ya kwamba kuna wengi watakukatisha