MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UCHAMBUZI WA KITABU 52 WEEKS OF SALES SUCCESS.
Kitabu 52 Weeks Of Sales Success ni kitabu ambacho kinaeleza mbinu muhimu z akuweza kufanikiwa kwenye kazi ya kuuza. Kitabu hiki ni muhimu sana kwa kila mmoja wetu kwa sababu wote tunauza. Kila mtu kuna kitu anauza. Kama umeajiriwa unauza muda na utaalamu wako kwa yule aliyekuajiri. Kama unafanya biashara