MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 322; Mwishowe Watakubali Tu…
Hakuna kitu kikubwa na kizuri ambacho ni rahisi kufanya au kupata. Chochote unachofanya au unachotaka, mwanzoni utakufana na upinzani, tena mkubwa sana. Upinzani huu utatoka kwa watu, utatoka kwenye mazingira yanayokuzunguka, na pia unaweza kutoka ndani yako mwenyewe. Utakapoanza kufanya utaona kama vile kila kitu kipo kinyume na wewe. Utaona