Je unajenga biashara au unafanya biashara? Soma hapa kujua kipi muhimu kwako.

By | November 23, 2015
Mafanikio ya biashara yoyote ile yanaanza na mafanikio ya mfanyabiashara mwenyewe. Biashara itakuwa kwa kiasi kile ambacho mmiliki wake amekua, na haiwezi kwenda zaidi. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wanashindwa kukuza biashara zao kwa sababu wao wenyewe hawakui. Na hili limekuwa tatizo kubwa la biashara nyingi kushindwa au hata kudumaa kabisa. Unakuta

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA NA UJASIRIAMALI

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz