MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Uchambuzi Wa Kitabu; SPEAK TO WIN.
Kitabu SPEAK TO WIN kimeandikwa na mwandishi maarufu sana wa vitabu anayejulikana kama Brian Tracy. Brian ameandika vitabu vingi na pia amekuwa akitoa mafunzo mbalimbali ya biashara na mafanikio. Katika kitabu hiki Brian anatushirikisha mbinu za kuweza kuongea vizuri mbele ya watu na kuweza kuwashawishi watu kuchukua hatua ambayo unataka