MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 333; Watoto Wanajua Sana….
Watoto wanajua sana, pengine vizuri zaidi kuliko hata wewe. Kudhibitisha hili muulize mtoto yeyote mwenye umri katia ya miaka mitano mpaka kumi swali hili; ukiwa mkubwa unataka kuwa nani? Niambie kama utasikia jibu kama hili; Nikiwa mkubwa nataka niwe makamu wa raisi… Nikiwa mkubwa nataka niwe napanga mafaili kwenye ofisi….