MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 340; Unaweza Kuwa Mtu Mmoja Kati Ya Hawa Wawili, Acha Kupoteza Muda.
Unaweza kuwa mtu mmoja tu kati ya watu hawa wawili. Huwezi kuwa wote wawili, au huwezi kuwa katikati, ni moja tu. Unaweza kuwa mtu mwema au unaweza kuwa mtu mbaya. Unaweza kuwa mchapakazi au unaweza kuwa mvivu. Unaweza kuishi maisha ya furaha na mafanikio au unaweza kuishi maisha ya mateso