MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Malengo matano muhimu ya kibiashara ya kuweka kwa mwaka 2016.
Mwaka 2015 unakwisha na tunakwenda kuanza mwaka 2016. Je unaweza kusema kwa maneno machache mwaka 2015 ulikwendaje kwenye biashara yako? je unaweza kuangalia kwa mwaka wote 2015 na ukaona ukuaji uliotokea kwenye biashara yako? kwa sababu kama hakuna tofauti, basi ni vigumu sana kwa biashara yako kukua zaidi. Kila mwanzo