MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 368; Uzoefu Wako Ndio Unaokuangamiza…
Unajua kwa nini watu wanaocheza kamari huishia kuwa na uteja? Wanaendelea kucheza licha ya kwamba wanapoteza fedha nyingi kuliko wanazopata? Ni kwa sababu ya uzoefu wao, huo ndio unaowapoteza zaidi. Kama mtu akianza kucheza kamari na kila siku akawa analiwa tu fedha, hajawahi kupata hata siku moja, hataendelea kwa muda