MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 372; Kubali Kutokuwa Mzuri Mpaka Utakapokuwa Mzuri.
Mfanyabiashara mkubwa unayemuona leo, hakuanzia hapo, alianza chini kabisa, kwa kupata hasara lakini leo unamwona ana biashara kubwa. Mwanamuziki mashuhuri unayemuona leo, hakuanzia hapo alipo, alianza chini kabisa, nyimbo zake za kwanza watu hawakuzisikiliza. Mwandishi mashuhuri unayemuona leo hakuanzia hapo, ukipewa andiko lake la kwanza usome unaweza kuona ni mtu