MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UCHAMBUZI W AKITABU; The Four Purposes Of Life (Makusudi Makuu Manne Ya Maisha)
Maisha siyo tu kuamka asubuhi, kufanya kile ambacho umezoea kila siku, kulala na kuamka tena kesho yake kurutia utaratibu huo. Kuna makusudi makubwa sana ya maisha ambayo kila mmoja wetu ni lazima ayajue na kuweza kuyafanyia kazi. Hapa ndipo mwandishi Dan Millman ametushirikisha makusudi manne ya maisha ambayo kila mmoja