MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
KITABU; Kurasa Za Maisha Ya Mafanikio, Nidhamu Uadilifu Na Kujituma.
Kuna mambo matatu muhimu sana kila mmoja wetu anatakiwa kujua kuhusu maisha, ili kuweza kuwa na maisha bora na yenye mafanikio. Na hapa mafanikio ni vile wewe unavyoyaona maisha yako kwa ubora, vile wewe unavyotamani maisha yako yawe na vile ambavyo ndoto zako kubwa kwenye maisha zilivyo. Jambo la kwanza