MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 404; Utu Kwenye Kitu…
Wewe ni wewe, na utabaki kuwa wewe, iwe una fedha au huna, una kazi au huna, biashara yako inafanya vizuri au vibaya na iwe watu wanakuheshimu au wanakudharau. Wewe utabaki kuwa wewe, iwe una marafiki wengi au machache, una kipaji au huna, na ni maarufu au sio maarufu. Tatizo kubwa