MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 411; Haitaondoka Yenyewe…
Tukiangalia kwa undani kabisa, kama utaamua kuweka sababu nyingine zote pembeni ni kwamba kuna kitu kimoja tu kinachokuzuia wewe kuishi yale maisha ambayo unajua unataka kuishi. Nina uhakika una picha fulani ya maisha ambayo unajua ni bora kwako. Unaona kabisa kama maisha yako yangekuwa hivi basi mambo yangekuwa mazuri. Na