MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Wewe Ndiye Unayeijua Biashara Yako Na Siyo Mteja, Timiza Wajibu Huu.
Kuna wakati ambapo wafanyabiashara huwa tunajisahau sana. Tunapitiwa kwa kufikiri kwa kuwa sisi tunaijua biashara yetu basi mteja naye anajua. Au tunafikiri kwa sababu tumeshaeleza kwa wateja basi ni jukumu la kila mteja kujua. Ni jukumu lako wewe kumweleza kila mteja kuhusu biashara yako, na sio wote watakaokuelewa. Hivyo kuwa