MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 419; Unachokijua Ndio Kinachokupoteza…
Ukilinganisha na vitu ambavyo tunatakiwa kujua, tunavyojua mkapa sasa ni vichache sana. Yaani ni sehemu ndogo sana ambayo kila mmoja wetu mpaka sasa anajua. Ukiangalia kuhusu maisha, ambayo ndiyo biashara inayomhusu kila mmoja wetu, tunajua kidogo sana, bado kuna mengi ambayo ni muhimu lakini bado hatujayajua. Tatizo sio kujua kidogo,