MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 422; Chanzo Kikuu Cha Migogoro…
Tumekuwa tunakutana na migogoro mingi sana kwenye maisha yetu, migogoro ya ngazi ya chini baina ya watu na hata migogoro ya ngazi za juu kabisa ambayo inapelekea mpaka vita. Migogoro hii inakuwa hatari sana kwa maendeleo na mafanikio yetu kwa sababu inavuruga kabisa mahusiano yetu na kushirikiana kwetu na wengine.