MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#BIASHARA LEO; Aina Mbili Za Kushindwa Kwenye Biashara, Na Iliyo Bora Kwako.
Kuna aina mbili za kushindwa kwenye biashara na katika aina hizo mbili kuna moja ambayo ni bora kwako na nyingine siyo bora. Aina ya kwanza ya kushindwa kwenye biashara ni kuanzisha biashara halafu biashara hiyo ikafa. Hapa unajipanga na unaingia kwenye biashara ukiwa na malengo na mipango mizuri ila biashara