MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Jambo Muhimu Kuzingatia Kwenye Bei Ya Bidhaa Au Huduma Unazotoa.
Inapokuja kwenye swala la upangaji wa bei za bidhaa au huduma tunazotoa, wafanyabiashara wengi wamekuwa wakifanya kwa mazoea. Kuna hali fulani imezoeleka kwamba mteja ataomba kupunguziwa bei na ili kuhakikisha anapata faida, mfanyabiashara anaanza kumtajia mteja bei kubwa ili wakipunguzana bei irudi kule kwa kawaida. Haya ni mazoea ambayo siyo