MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 426; Nguvu Yako Iko Hapa…
Tunapenda kubadili maisha yetu, ili yawe bora zaidi na tuweze kufikia mafanikio makubwa. lakini wengi wanashindwa kwenye hatua za kwanza kabisa, kwa sababu hawajui nguvu yao ilipo. Jamii imekuwa inapotosha sana kuhusu nguvu zako zilipo. Utaambiwa mambo mengi sana, lakini siyo ya kweli. Mambo haya mengi tunayoambiwa ndiyo yanatufanya tuone