MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Hatua Za Kuchukua Pale Mteja Anapotaka Bei Ya Chini Kuliko Kiwango Chako.
Kwenye makala iliyopita ya BISHARA LEO, tuliona ni muhimu sana kuepuka kuweka bei kubwa ili wateja watakapotaka kupunguziwa ndiyo unampunguzia kufikia bei ya kawaida. Tukaona ni muhimu uwe na bei moja ambayo haipungui na kila mteja ataambiwa bei hiyo. Kama hukupata nafasi ya kusoma makala ile bonyeza maandishi haya kuisoma;