UKURASA WA 427; Hatua Za Kuchukua Unapokataliwa…

By | March 2, 2016
Kama sijawahi kukuambia hili basi naomba nianze nalo mapema kabisa, utakataliwa mara nyingi sana kwenye maisha yako. najua umeshapitia hali hii lakini nina wasiwasi huenda hujajua kwamba utaendelea kukataliwa na wengi zaidi kadiri siku zinavyokwenda. Hapo nilikuwa nakukumbusha tu, kwamba utakataliwa, mara nyingi na kwenye mambo mengi. Leo nataka nikushirikishe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz