MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 429; Jaribio La Machujio Matatu…
Hadithi inakwenda kwamba mtu mmoja alikwenda kwa Socrates na kutaka kumwambia alichosikia kuhusu rafiki yake. Socrates alikuwa mwanafalsafa aliyeheshimika sana enzi hizo za utawala wa kigiriki. Socrates alimwambia mtu yule, kabla hujaniambia chochote kuhusu rafiki yangu, naomba kwanza nikupe jaribio la machujio matatu, kuhusu habari unazotaka kuniambia. Chujio la kwanza