MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
FALSAFA MPYA YA MAISHA; Njia Bora Ya Kujenga Upendo Wako Kwa Wengine.
Moja ya misingi muhimu sana ambayo tumejifunza kwenye FALSAFA YETU MPYA YA MAISHA ni upendo. Upendo ni msingi muhimu sana na ndio kitu pekee kinachoweza kutuvusha na kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi. Bila ya upendo maisha hayawezi kuwepo, na matatizo mengi tunayopitia sasa kama dunia yanatokana na ukosefu