MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
ONGEA NA COACH; Kuwa Mwema Kwa Watu Ambao Hawahitaji Wema Wako.
Habari za wakati huu rafiki? Naamini uko vizuri sana na unaendelea kuyafanya maisha yako kuwa bora kila siku. Hongera sana kwa hili kwa sababu hakuna namna nyingine ya kuishi maisha ya furaha kama hayawi bora. Hivyo jukumu lako la kila siku ni kuhakikisha unakuwa na maisha bora zaidi. Karibu tena