MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 441; Dunia Inakusoma Tu…
Wanasema vitendo vinaonekana zaidi kuliko maneno yanavyosikika. Kwamba unaweza kusema sana, lakini watu wataona zaidi vitendo vyako. Dunia inakusoma kwa kila unachofanya. Unaiambia dunia unachoamini na unachosimamia kupitia matendo yako ya kila siku. Kuwa mtu wa kulalamika na kulaumu na unaidhihirishia dunia kwamba huna mamlaka juu ya kitu chochote kile,