MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 443; Heshima Ya Kweli…
Heshima ya kweli ni upendo. Watu wengi wanaamini wanaheshimika pale ambapo wanaogopeka. Au wanafikiri kuonesha heshima kwa wengine ni kuwa na hofu nao au kuwaogopa. Hii siyo kweli. Upendo na hofu au woga ni vitu ambavyo haviwezi kwenda pamoja kwa wakati wowote ule. Ni vitu vinavyopingana, upendo unapokuwepo, hofu haiwezi