MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 454; Chakula Cha Mawazo Hasi.
Ni sheria ya asili kwamba chochote kinacholishwa kinakua, na chochote kinachokosa chakula kinadhoofu na kufa. Wote tumewahi kuona watoto wadogo, kadiri anavyopata chakula kizuri, yaani mlo kamili anakua vizuri na kuwa na afya bora. Lakini anapokosa chakula kizuri afya yake inakuwa dhoofu na anaweza kufariki. Sasa mawazo hasi nayo huwa