MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 495; Mafanikio Ni Matone, Siyo Mafuriko…
Tunapoona mafanikio ya wengine, huwa tunaona mafuriko. Tunaona jinsi mambo makubwa yanavyotokea kwao huku wakionekana hawaweki juhudi kubwa sana. Na sisi tunafikiria kwenye mlengo huo huo kwamba kama na sisi tutaweza kutengeneza mafuriko kama ya hao wengine, basi mambo yetu yatakuwa vizuri sana. Ambacho hatuoni ni kwamba watu hawa hawakuanza