MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 498; Siyo Kila Mtu, Lakini Kwa Nini Usiwe Wewe?
Kuna majibu ambayo watu wakikupa pale unapowaambia kitu unaona ni jinsi gani ambavyo wanajizuia wao wenyewe kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao. Unamwambia mtu aweke juhudi ili kufikia utajiri, anakuambia siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri. Ni sawa siyo kila mtu anaweza, lakini kuna ambao wanaweza, sasa kwa nini wewe