MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 502; Kuweza Kufanya Na Kufanya….
Kuweza kufanya na kufanya ni vitu viwili tofauti kabisa. Watu wengi wanasema wanaweza kufanya, lakini cha kushangaza huwaoni wakifanya. Wanasubiri mtu mwingine afanye halafu wao ndiyo waje kukosoa, ya kwamba hata wao wangeweza kufanya vizuri zaidi ya vile ambavyo wengine wanafanya. Pande mbili za jambo hili. Upande wa kufanya. Kama