MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
FALSAFA MPYA YA MAISHA; Kinachotuzuia Kuujua Ukweli Na Hivyo Kushindwa Kuwa Na Maisha Bora.
Ujue ukweli nao utakuweka huru… Hii ni falsafa ambayo imekuwepo tangu zamani, na ni falsafa nzuri sana kwa kuwa na maisha bora na ya mafanikio. Lakini kwa bahati mbaya sana wengi tunashindwa kuitumia na hivyo kushindwa kuwa na maisha bora. Wote tunajua ya kwamba uhuru ndiyo kitu muhimu sana kwenye