UKURASA WA 506; Simama Mwenyewe…

By | May 22, 2016
Sisi binadamu ni viumbe wa kijamii, inakuwa rahisi kwetu kufanya jambo kama kila mtu anakubaliana na sisi na yupo tayari kutusaidia. Ni salama zaidi kufanya kile ambacho kila mtu anafanya, au wanakushauri kufanya. Kwa sababu kama utashindwa basi watakusaidia. Lakini hivi unavyolazimika kufanya siyo vile ambavyo ni bora kwako, na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz